Fomu ya Kuomba Mkopo

Jaza taarifa zako zote kwa usahihi. Fomu hii itakusajili kwenye mfumo wetu.

1. Taarifa Zako Binafsi

Bado hujachagua picha

2. Alama za Vidole (Fingerprint)

Pakia picha ya alama za vidole vyako (unaweza kupiga picha ya alama ya kidole kwenye karatasi, au picha ya kifaa cha fingerprint scanner).

Bado hujachagua picha

3. Sahihi Yako (Signature)

Tumia kidole chako (kwenye simu) au mouse (kwenye kompyuta) kuchora sahihi yako ndani ya kisanduku hapa chini.

Bado hujaweka sahihi

4. Taarifa za Mkopo

RIBA
-
JUMLA YA KULIPA
-
TAREHE YA MWISHO
-

5. Taarifa za Wadhamini (Wawili)

Wadhamini ni watu watakaothibitisha kuwa unaweza kukopesheka. Jaza majina na namba zao za simu.

6. Tengeneza Password ya Kuingia Mfumoni